Jumla ya Watanzania 59 waliowasili ubalozini leo Alfajiri kutokea Cape town wamefanikiwa kusafiri kurejea nyumbani Tanzania wakitokea Africa kusini na ndege ya shirika la #PreciousAir.
Shukrani kwa #IOM, kwa kuwezesha hii safari iwezekane. Haikua rahisi ila sote twaweza.
❗Angalizo.❗…. ❗Angalizo …❗
Kwa watanzania wanao safiri kesho tarehe 8/8/2020
hakikisha mizigo uliyobeba haitozidi Kilo 20 ili turahisishe safari yetu kwa kila mtu.