
Read Time:12 Second
Ndege ya Air Tanzania (Dreamliner) tayari kuruka katika Uwanja wa Kimataifa wa Mumbai jioni hii, ikiwa imebeba watanzania 183 waliokwama India. Hii ni safari #8, ikiwa ni muendelezo wa safari za kuwarejesha watanzania waliokwama India. Bring #Tanzanianshome #MIAKAMITANOYAKAZI
- MCHONGO: GUIDE TO UK SCHOLARSHIP
BOFYA HAPO KUPAKUA PDF DOCUMENT DOWNLOAD👇🏾 - WAZIRI MKUU: TUTAFUTE MBINU MPYA ZA KUKIENEZA KISWAHILI
Paris France WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuna haja ya kutafuta mbinu mpya ya kukieneza Kiswahili baada ya kuwa kimepata hadhi ya kimataifa. “Kadiri Kiswahili kinavyoendelea kupata hadhi ya… - Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan awakumbuka Lumumba na Nyerere
Moscow, Urusi RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amesifu mchango wa Chuo Kikuu cha Urafiki cha Watu wa Urusi (RUDN) katika ukombozi wa nchi za Afrika akisema kimesadifu maono ya viongozi… - RAIS SAMIA AELEKEA URUSI KATIKA ZIARA YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam… - BALOZI SWAHIBA AANIKA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO KWA DIASPORA
Sweden Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Swahiba Mndeme, ameainisha vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu yake katika kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na diaspora, kuvutia uwekezaji, kukuza biashara na kueneza…
















