0 0
Read Time:20 Second

Rais wa Tanzania asubuhi ya leo Juni 01, 2021 amefanya ziara fupi ya kuzungukia maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dar es Salaam na kujionea mambo mbalimbali yanavyokwenda.
Alifika eneo la Mbagala Zakhem na kukagua mradi wa mwendokasi ,sokoni Kariakoo na Hospitali ya mwananyamala ambapo alitumia nafasi kuwaasa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya maambukizi ya uviko kwa kunawa mikono na hata kuvaa barakoa inapobidi.

Kaziiendelee

TunaimaninaSamia

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %