Read Time:14 Second
Timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 imetwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Cecafa kwa vijana, baada ya kuwachapa Burundi.
Vijana wa Tanzania wameibuka kidedea katika fainali hiyo kwa Kupata ushindi wa magoli 6-5 kwa changamoto ya mikwaju ya penati.








