
Read Time:15 Second
Na Mwandishi wetu K@2021
Taarifa zilizo tufikia kutoka Kwazulu Natal South Africa,zinasema kijana Mtanzania aliyetambulika kwa jina la EMMANUEL EVARIST MOGELLA ameariki baada ya kugongwa na gari.Ajali hiyo imetoka Leo Kwa Zulu Natal. Wabongo ughaibuni Bado tunafuatlia taarifa zaidi. Mungu amrehemu.









