

The Government of United Republic of Tanzania has reviewed the cost of COVID-19 Test for travelers, and decided to reduce the cost from 100USD to 50USD for RT PCR Test. The Government has also reduced the cost of Antigen RAPID TEST to 10USD for air travelers. Also cost for Antigen RAPID TEST has been removed all together for travelers using other borders.
______________
Baada ya Mapitio pamoja na uchambuzi wa gharama za upimaji wa ugonjwa wa UVIKO-19, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepunguza gharama za upimaji wa ugonjwa huo kutoka dola 100 za Marekani kwenda dola 50 kwa kipimo cha RT PCR.
Pia serikali imeondoa gharama za kipimo cha Antigen RAPID TEST mipakani, na kutoza gharama ya dola 10 za Marekani kwa kipimo cha Antigen RAPID TEST kwa wasafiri wa viwanja vya ndege
