
Durban, South Africa
Mtanzania alietajwa kwa jina la Dogo janja yupo hospitali moja ya Durban South Africa mahututi baada ya kumwagiwa tindi Kali na Mtanzania alietajwa kwa jina la Timba au Pala Uchebe. Mtuhumiwa ambaye inaonekana hajulikani kwa sasa alipo baada ya kutenda jinsi hiyo,ametumiwa salaam Kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook na mtu aliedai kuwa mtuhumiwa ni rafiki yake lakini kwa kitendo hiki urafiki utakuwa umekufa na anatafutwa kwa ajili ya kupewa onyo kali. Chini ni ujumbe huo kwa Ndugu Timba.

Ujumbe huu umeandika na Mohammed Taibalh Msangi
Durban South Africa
MZEE BABA
……..NIMENYAMAZA KWA MUDA SANA HILA SASA NAONGEA SASA .
…….KITENDO AMBACHO UMEFANYA RAFIKI YANGU TIMBA ….AU PALA UCHEBE NI CHA KINYAMA SANA … NDIO MIMI NA WEWE NI MARAFIKI NA NI ZAIDI YA NDUGU LANINI SIWEZI KUWA UPANDE WAKO KWA HILI…I am sorry brother
…….TIMBA NDUGU YANGU BEFORE UMEMWAGIA MKEO ACID BADO HUJAISHIA HAPO LEO UMEMMWAGIA ACDI DOGO JANJA ….BILA HATA KOSA …..YAANI UMELETA UMWAMBA AU SIO KAKA
……YAANI KIHUNI UNA CASE NA SIYO YA KUJIBU ….HUKUMU YAKO IMEPITA UNATAKIWA ADHABU KALI SANA IKIWEZEKANA UPEWE KILEMA CHA MAISHA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE.
…….MWANGALIE MDOGO WETU ANAVYO PATA TABU KAKA JE WEWE UNAJISIKIAJE HUKO ULIPO
…..NDUGU WATANZANIA TIMBA AU PALA UCHEBE AMEMWAGIA MDOGO WETU MTANZANIA MWEZETU ACID HAPA SOUTH AFRICA ….NA HALI YAKE MBAYA SANA DOGO JANJA…
🙏🙏 …………
…………..SASA BASI WAHUNI HUYU MWAMBA KOKOTE ATAKAPO PATIKANA ….HUKUMU IPITE PLEASE 🙏🙏🙏.. ENOUGH IS ENOUGH
…..TIMBA NAJUA UPO HAPA SOUTH AFRICA NA POST YANGU UNAIONA NA SISI NI MARAFIKI TENA WA MUDA MREFU SANA KAKA
…..Hila Kwa hili swala urafiki umekwisha…….
………NAJUA LAZIMA UTAKUWA UMECHUKIA KUHUSU HII POST …..SASA JIPANGE UJIPANGAVYO NAKUSIBIRI KWA MIKONO MIWILI .
..
……..U ARE WELCOME BROTHER ANY TIME….
TIMBA UCHEBE PALA ….MTUHUMIWA UPANDE WAKO MKONO WA KULIA
DOGO JANJA ..AMBAYE KAMWAGIWA ACID UPANDE WA KUSHOTO
….SHERIA NI MSIMENO …WE ARE NOT BROTHER’S ANY MORE BETWEEN ME AND U
… MOHAMED TAIBALH MSANGI MZEE BABA JESHI LA MTU MOJA
***YAANI HOME BOY WANGU WEWE NI WAKUFANYA UJINGA KAMA HUU MBONA SISI WATOTO WA TEMEKE TANDIKA MIKOROSHINI HATUFANYI UPUMBAVU HUU …..TIMBA UMETUVUA NGUO TANDIKA MZEE