0 0
Read Time:15 Second

Habari Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumapili Oktoba 24, 2021, Ikulu Dar es Salaam, amewaapisha Waziri Innocent Bashungwa na Naibu wake Pauline Gekul kuongoza Wizara mpya ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kuapishwa kwa viongozi hao kunafuatia Sekta ya Habari kuhamishiwa wizara nyingine.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %