Read Time:11 Second
WU® MEDIA PRODUCTION
Wanafunzi wa Kitanzania walio katika Mji wa Sumy nchini Ukraine wameruhusiwa kutoka nchini humo kupitia mpaka wa Urusi baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kufanyika na Serikali ya Urusi kuridhia, na kusema itaratibu zoezi hilo.