
Read Time:12 Second
WU®Media PRODUCTION
Mtanzania anayeishi nchini Canada Bw. Joseph Katallah ameonesha nia ya kuwekeza nchini katika sekta ya miundombinu ya barabara kwa kushirikiana na kampuni ya Geopolymer Salutions ya nchini Marekani kwa kutumia teknolojia mpya iliyogunduliwa na kampuni ya hiyo.



