Read Time:15 Second
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula amewasili nchini Finland kwa ziara ya siku 3 kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nchi za Nordic unaofanyika tarehe 13 hadi 15 Juni 2022 jijini Helsinki, Finland.