WU® MediaPRODUCTION LIMITED
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Timu ya Southampton kutoka Nchini Uingereza ukiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas, walipofika Ikulu kwa mazumgumzo na (kulia kwa Rais) Mshaurielekezi Ammy Ninje na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.