0 0
Read Time:26 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Amb. Mulamula na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Norway, Mhe. AnneBeathe wamesisitiza kukuza Diplomasia ya Uchumi walipokutana kwa mazungumzo jijini Oslo, Norway tarehe 17 Juni 2022. Sera ya Diplomasia ya Uchumi imekuwa ikitekelezwa kwa sehemu kubwa na Balozi za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania za nje ,katika mazungumzo hayo Balozi Mulamula aliongozana na Balozi wa Tanzania Sweden Mh. Grace Olotu.

Balozi Mulamula akiongea wakati alipokutana na Waziri wa ushirikiano wa Norway
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %