WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Bondia Yusuf Lucasi Changalawe apongezwa kwa kutwaa Medali ya Shaba leo na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza,Dkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Saidi yakubu Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na Mkuu wa Msafara wa Team Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola (TOC), Henry Tandau, Naibu Katibu Mkuu TOC Suleiman Mahmoud Jabir ,Kocha wa Ndondi wa Timu ya Taifa Timothy Kingu na Mabondia Isendi na Kassim Selemani Mbundwike.
“Hongereni sana Wapiganaji ,Walimu wa timu zote ,Watendaji, Wizara pamoja na Waziri wa Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe ,Mohammed Mchengerwa(Mtu Kazi)“