0 0
Read Time:21 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Ubalozi wa Tanzania nchini Belgium umetangaza kifo Cha Mzee Halfani Salim Halfani jina maarufu KIPANGA MORGAN

Balozi wa Tanzania nchini Belgium Mhe. Jestas Nyamanga na timu yake yote ya

ubalozi na familia zao wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mzee wetu Halfan Salim Halfan kilichotokea leo Antwerp.Tumepoteza rafiki. Ubalozi unatoa pole kwa wanafamilia na diaspora.

Taarifa zaidi za mipango ya mazishi zitatangazwa.

Marehemu KIPANGA

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %