WU® MEDIA
Marehemu Hamis suwedi Mpini
TAARIFA YA MAZISHI
Jumuiya ya Watanzania Rome wametoa taarifa Rasmi ya taratibu za mazishi. Marehemu Mpini atazikwa siku ya Jumatano tarehe 10/05/2023.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome amewataka Watanzania kujitokeza kwenda kumsindikiza Mwana Diaspora kwenye safari yake ya mwisho.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy Mhe. Mahmoud Thabit Kombo anategemewa kuhudhuria mazishi hayo.