0 0
Read Time:20 Second

Jisajili kuhudhuria mkutano huu kwa njia ya mtandao

Je, unataka kuuza kahawa au chai nchini Marekani? Karibu ushiriki kwenye Mkutano tuliouandaa kwa ajili ya kutoa taarifa muhimu tarehe 15 Mei 2024, saa 9:30 Alasiri mchana kwa saa za Afrika Mashariki.

Tafadhali jisajili kwanza, kisha tutakutumia barua pepe ya kuthibitisha ushiriki wako na maelezo ya namna ya kujiunga na mkutano:
us06web.zoom.us/meeting/regist…

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %