0 0
Read Time:35 Second

Havana Cuba

Waziri Kombo akutanana wadau wa Kiswahili na Diaspora

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Wadau wa Lugha ya Kiswahili kutoka maeneo mbalimbali duniani wakiwepo pamoja nao Wana Diaspora wa Uingereza waliofika kuhudhuria na kuunga mkono Tamasha la Kongamano la Kimataifa la Lugha ya Kiswahili ambalo linafanyika kwa mara ya kwanza Kusini mwa Marekani katika mji Mkuu wa Cuba Havana.

Kongamano hilo linatarajiwa kuwa la aina yake na la kipekee kwani ratiba ya Kongamano litaanza kwa Uzinduzi wa Sanamu la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Picha na matukio, Havana Cuba

Mh. Waziri akiwa na wadau
Havana Cuba
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %