
Read Time:12 Second
Ndege ya Air Tanzania (Dreamliner) tayari kuruka katika Uwanja wa Kimataifa wa Mumbai jioni hii, ikiwa imebeba watanzania 183 waliokwama India. Hii ni safari #8, ikiwa ni muendelezo wa safari za kuwarejesha watanzania waliokwama India. Bring #Tanzanianshome #MIAKAMITANOYAKAZI
- BALOZI YAKUBU AWASILISHA RASMI HATI ZA UTAMBULISHO
Paris France Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, akiwasilisha rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Ufaransa, Mheshimiwa Emmanuel Macron, mjini Paris. Katika mazungumzo yao, viongozi hao… - Kisarawe chini ya Mkuu wa Wilaya Petro Magoti
Na Kagutta NM Kiongozi wa Vitendo, Msimamizi wa Haki na Chachu ya Maendeleo” Katika wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani, jina la Mkuu wa Wilaya, Mheshimiwa Petro Magoti Itozya, linasikika… - โช๏ธWAZIRI MKUU: SEKTA BINAFSI NI MUHIMU KUFIKIA UCHUMI WA DOLA TRILIONI MOJA
WUยฎMedia Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi… - ๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐๐๐ ๐๐ญ๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐ข ๐ช๐ ๐๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐จ๐๐๐๐๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐จ๐๐ข
โช๏ธ๐๐ ๐ ๐ช๐ฌ๐๐ ๐๐ฏ๐ ๐๐ช๐ง๐ค ๐ข๐๐ก๐๐ค๐ฃ๐ 50 ๐ ๐ช๐จ๐๐๐๐๐ ๐ ๐ช๐ฉ๐ค๐ ๐ค๐ข๐๐ฏ๐ ๐จ๐ค๐ฉ๐ค๐ ๐ ๐๐๐ง๐๐ฃ๐ ๐ผ๐๐ง๐๐ ๐ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa… - โช๏ธWAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AWASILI ROMA, ITALIA
Rome Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa…
















