WABONGO UGHAIBUNI
  • adminadmin
  • August 7, 2011
  • 0 Comments
MSIBA GREECE

Jumuiya ya Watanzania Ugiriki (Greece) inasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu SAIDI HASSAN MGOI  (pichani) (Maarufu kwa jina la CHANCE)kilichotokea hospitali ya mjini Piraeus J’tatu 1/8/2011. Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki…

  • adminadmin
  • August 7, 2011
  • 0 Comments
Kondoo mwenye Korani azaliwa

KIJIJI cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimegeuka eneo la utalii baada ya waumini wa madhehebu ya Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali wilayani humo na maeneo jirani, kwenda kumshuhudia kondoo aliyezaliwa…

  • adminadmin
  • August 2, 2011
  • 0 Comments
MTANZANIA AGEUZWA MTUMWA NA MTANZANIA

                                      Scientist ‘kept girl of 21 as a slave’ A SCIENTIFIC researcher used a 21-year-old she flew in from Africa as her unpaid slave, a court heard yesterday. Rebecca Balira…

  • adminadmin
  • July 30, 2011
  • 0 Comments
WATANZANIA MODENA

Katibu wa jumuiya ya Watanzania Italia tawi la MODENA ndugu Mwinyimwaka Hatibu akipata kumbukumbu na baadhi ya Watanzania katika sherehe. Banda la Tanzania (Jumuiya ya Watanzania Italia) lameremeta katika sherehe…

  • adminadmin
  • May 8, 2011
  • 1 Comments
KARIBUNI WADAU

Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wadau wote ili kuchangia habari na matukio yote ya Watanzania ughaibuni.Kwa matangazo ya aina zote tafadhali usisite kuwasiliana nasi. Pia tunahitaji wadau watakao kuwa Administrators,…