NIDA YAWAFIKIA DIASPORA
NIDA Yawafuata Diaspora Na Alphani Mlacha-NIDA Katika kutekeleza majukumu yake ya utambuzi na usajili, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) haijawasahau Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora). Hii ni kwa…
NIDA Yawafuata Diaspora Na Alphani Mlacha-NIDA Katika kutekeleza majukumu yake ya utambuzi na usajili, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) haijawasahau Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora). Hii ni kwa…
Dar Es Salaam Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, leo Alkhamisi tarehe 4 Disemba amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Wanachama…
Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya India kwa misaada ambayo imekuwa ikichangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.…
Na. Mwandishi Wetu,Dar es Salaam.Serikali ya Tanzania imeweka wazi Mpango wake wa kutotoa Uraia kwa Wakimbizi wanaoishi katika kambi za Wakimbizi zilizopo hapa nchini huku ikiwataka wakimbizi hao kuwa tayari…
WU®MEDIA Na Mwandishi Wetu- Algeria Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa uzalishaji wa dawa na teknoloajia mbalimbali za afya ambapo wengi wao…
Dar Es Salaam TANZANIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Jumuiya ya Wanadiplomasia wanaowakilisha nchi na…
WU®MEDIA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kupitia Jukwaa la Biashara la Tanzania–Korea (Tanzania–Korea Business Forum) lililowakutanisha wadau wa uwekezaji…
Nairobi KENYA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki Mkutano wa 47 wa Baraza la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la Afrika Mashariki (SCTIFI) na Mkutano wa Dharura Pili…
Luanda Angola Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro, Jijini Luanda nchini Angola…
Kwa Nini Ripoti ya CNN Kuhusu Tanzania Haistahili Kuaminiwa?” Kama mwandishi wa Habari na mchambuzi wa masuala ya Dini, siasa na jamii Nimeisikiliza Ripoti ya CNN kuhusu kile kilichotokea Tanzania…