BALOZI KOMBO NA MANAIBU WAKE WAPOKELEWA OFISI ZA WIZARA MTUMBA
Dodoma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) wamepokelewa katika Ofisi za Wizara zilizoko Mji wa Serikali Mtumba baada ya kuapishwa…


















