DICOTA 2011:
The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States of America and The Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) are together, organizing events to mark 50…
The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States of America and The Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) are together, organizing events to mark 50…
barbequing at Sognsvannet Oslo 25th June 2011 By Chama Cha Watanzania Oslo (Gonga hapo kwa picha zaidi) WABONGO UGHAIBUNI
Jumuiya ya Watanzania Ugiriki ilifanya tafrija ya kuiaga timu ya taifa ya special olympic. kwa picha zaidi tembelea facebook ya WATANZANIA UGIRIKI WABONGO UGHAIBUNI
Kwa picha zaidi za harusi tembelea facebook ya WATANZANIA UGIRIKI Blog ya jamii inawatakia kila la kheri maharusi. WABONGO UGHAIBUNI
Jumuiya ya Watanzania Ugiriki (Greece) inasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu SAIDI HASSAN MGOI (pichani) (Maarufu kwa jina la CHANCE)kilichotokea hospitali ya mjini Piraeus J’tatu 1/8/2011. Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki…
KIJIJI cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimegeuka eneo la utalii baada ya waumini wa madhehebu ya Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali wilayani humo na maeneo jirani, kwenda kumshuhudia kondoo aliyezaliwa…
KWA WADAU WA UGHAIBUNI NA NYUMBANI WENYE UJUZI WA MCHEZO WA BAO KIBA (Klubo internacia de Bao-amantoj)inaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Nne ya Mchezo wa Bao KIBA (Klubo internacia de…
Scientist โkept girl of 21 as a slaveโ A SCIENTIFIC researcher used a 21-year-old she flew in from Africa as her unpaid slave, a court heard yesterday. Rebecca Balira…
WATANZANIA ITALY Watanzania walishiriki katika mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi ambao bado upo katika jamii ughaibuni. Timu ya Tanzania ikiongozwa na mwenyekiti…