JAPAN KUWAJENGEA UWEZO VIJANA WA TANZANIA KATIKA SEKTA YA UJENZI
Yokohama JAPAN Tanzania na Japan zimesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano (MoU) katika uendelezaji wa rasilimali watu katika sekta ya ujenzi. Uwekaji saini wa MoU hiyo umefanywa na Waziri wa…


















