NEWS: EQUITY BANK TANZANIA
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Tanzania, Ndg.Robert Kiboti akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mh. Deo Ndejembi alipomtembelea ofisini kwake Dodoma leo.#EquityBank
SI NGUVU YA SODA MAPAMBANO DHIDI YA WABADHILIFU ” Dr Mwinyi”
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema nguvu inayotumika kupambana na wabadhirifu wa mali za umma visiwani humo si nguvu ya soda na mapambano hayo ndio kwanza yameanza. Kadhalika, amesema…
TANZANIA YAWASILISHA OMBI MAALUMU UMOJA WA AFRIKA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Jamhuri ya Afrika Kusini zimewasilisha ombi maalumu kwa Umoja wa Afrika kuzitambua rasmi njia zilizotumika na wapigania uhuru kutoka Dar es…
UBALOZI WA TANZANIA KUWAIT
H. E. Eng Aisha S AMOUR, Ambassador of the United Republic of Tanzania meetsH. E. Dr. Rana Al-Fares, Minister of Public Works of the State of Kuwait, discussed about Public Works…
HALI YA UBAGUZI UGHAIBUNI
Na mwandishi AbuLuLuFaJM Kwenye nchi hizi za Walami, kuna ufuatiliaji mzuri sana wa sheria za nchi na haswa haya masuhala ya kibaguzi au maneno ya kibaguzi.Kumbagua mtu kwa namna yoyote…
Afariki baada ya kupewa chanjo ya corona
Mwanamke mmoja wa Virginia Marekani, Drene Keyes (58), amefariki saa kadhaa baada ya kupewa chanjo ya corona.Mamlaka zinasema hakuna ushahidi kwamba chanjo hiyo ni chanzo cha kifo na wanaendelea kuchunguza.Ingawa…
Tanzania:DAWA ASILIA SASA KUWEKEWA MKAKATI YA KUPATIKANA KATIKA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA NA MADUKA YA DAWA ZA BINADAMU
Na WAMJW – DodomaSerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imeweka mkakati wa kusogeza karibu huduma za tiba asili kwa jamii ambazo sasa dawa hizo…
Talented artist from Tanzania rediscovers passion for painting after being laid off due to COVID-19
Kiyungi Fundikira was born and raised in Africa. He loved to paint and sketch as a child, lost interest in his teens then moved to Canada in 2000. After being…
MUANZILISHI WA UMOJA WA WATANZANIA DUNIANI
Ndugu Hassan Ng’anzo akiwa katika mahojiano Tanzania ambako amekwenda kufuatilia shughuli zake kama anavyoeleza kwenye mahojiano.















