JAPAN:MKUSANYIKO WA WATANZANIA KWA TAFRIJA FUPI YA KIPINDI HIKI CHA SUMMER.
KWA WATANZANIA JAPAN: Nadhani baadhi yenu mnayo taarifa. Kwa wale ambao hawajapata taarifa, ningependa kuwaarifu kuwa Jumamosi hii, tarehe 13/Aug/2011, kutakuwa na mkusanyiko wa watanzania wote huko maeneo ya Sagamino.…








