NDUGU PETER MSAKI MWANA TAALUMA WA DIPLOMASIA YA KIMATAIFA
Ndugu Peter Msaki ni mtaalamu wa mambo ya kidiplomasia , hii ni sehemu ya mahojiano yake akiwa na Dar Live Tv.
Ndugu Peter Msaki ni mtaalamu wa mambo ya kidiplomasia , hii ni sehemu ya mahojiano yake akiwa na Dar Live Tv.
WAZIRI KABUDI AKUTANA NA MABALOZI WATATU: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi leo, Jumanne Disemba Mosi, amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wanaoziwakilisha…
Watu 29 wamehukumiwa na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwenda jela mwaka mmoja baada ya kukiri kosa la kutoka ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda nchini Afrika Kusini…
Historia ya kabila la Wamasai katika Jumba la Makumbusho ya Taifa la #China. #TanzaniaInChina — in Beijing, China.
TUKUTANE #ZOOMEQUITY BANK#DIASPORA Huduma zinazotolewa na Equity Bank kwa Diaspora ni pamoja na Diaspora Banking inayolenga kujenga daraja na kuwapa fursa mbalimbali za kibenki Watanzania wote wanaoishi ughaibuni; huduma ya…
Tarehe 17 Septemba 2020 Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka H. Luvanda amesaini na kukabidhiwa rasmi hati miliki ya ardhi kutoka Serikali ya India. Ardhi hiyo ni eneo la…
MADA: Uwekezaji na Uhuru Diaspora Account kwa gharama nafuu. TAREHE: 26th September,2020 MUDA: 10:30 – 12:30 jioni (16:30 -18:30) #EquityYetuHapaniNyumbani EQUITY DIASPORA ACCOUNT is inviting you to a scheduled Zoom…