WABONGO UGHAIBUNI
  • adminadmin
  • September 15, 2020
  • 0 Comments
BALOZI WA TANZANIA CHINA

Balozi Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen. Ujumbe wa kampuni hiyo utatembelea Tanzania mwezi Desemba 2020 kutafuta fursa ya kuwekeza katika uzalishaji…

  • adminadmin
  • August 27, 2020
  • 0 Comments
WATANZANIA SOUTH AFRIKA

Jana usiku tarehe 26 August Ubalozi wa Tanzania kwa kushirikiana na Precision Air na Kilimanjaro tours ya nchini hapa uliandaa safari ya ndege-repatriation flight kuleta watanzania waliokwama South Africa na…

  • adminadmin
  • August 26, 2020
  • 0 Comments
#DIASPORA UK

Edith Peter ni mdada mjasiriamali wa vyakula fresh kutoka Tanzania.Kwa kweli anastahili sifa kwa jitihada zake za kutangaza soko la mboga na vyakula kutoka Tanzania.

  • adminadmin
  • August 22, 2020
  • 0 Comments
KARATE-DO NI NIDHAMU YA MAISHA

Mwana-Karate au kama ajulikanavyo kwa lugha ya mchezo huo uitwa kwa jina la “Karateka”. Karateka hubeba dhamana kubwa sana katika maisha yake ya kila siku kuhakikisha kwamba nidhamu ya mafunzo…