Mhe. Jakaya Kikwete akutana na Captain Ibrahim Traorรฉ
Ouagadougou Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Mhe. Captain Ibrahim Traorรฉ. Mkutano huo ulifanyika…

















