MWENYEKITI WA AUC AKUTANA NA BALOZI MULAMULA
#WUNews Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), Mhe. Mahmoud Ali Youssouf amefanya mazungumzo kwa mara ya kwanza na Mjumbe Maalum wa AU wa Masuala ya Wanawake, Amani na…
#WUNews Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), Mhe. Mahmoud Ali Youssouf amefanya mazungumzo kwa mara ya kwanza na Mjumbe Maalum wa AU wa Masuala ya Wanawake, Amani na…
WUยฎMedia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Singapore kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 25 -29…
Stockholm SWEDEN Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Balozi Mobhare Matinyi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Mhe. Maria Malmer Stenergard, katika ofisi za…
Yokohama JAPAN Tanzania na Japan zimesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano (MoU) katika uendelezaji wa rasilimali watu katika sekta ya ujenzi. Uwekaji saini wa MoU hiyo umefanywa na Waziri wa…
WUยฎMedia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Yokohama, Japan kumwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri…
WUยฎMedia Antwerp Belgium Mkurugenzi wa Kitengo cha Diaspora na Fursa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Salvator Mbilinyi, ametoa wito kwa Watanzania wanaoishi nje ya…
ANTANANARIVO Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambacho ni maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa…
Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji…
WUยฎMedia Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Wakala wa Mbegu za kilimo ASA Dkt.Justin H. Ringo na baadhi ya maafisa wa ASA wakiwa na wawekezaji wa kilimo kutoka Nchini Italia wakiangalia vipando…