WABONGO UGHAIBUNI
  • adminadmin
  • August 8, 2020
  • 0 Comments
#UHURUDIASPORASAVINGACCOUNT

Kuwa na udhibiti wa akaunti yako unapokuwa Ughaibuni. Endesha akaunti yako ya Saving ya Diaspora popote pale ulipo duniani kiurahisi kupitia simu yako.Pakua Eazzy Banking App.#UhuruDiasporaSavingAccount#EquityBank#BenkiBilaStress

  • adminadmin
  • August 7, 2020
  • 0 Comments
UBALOZI WA TANZANIA SA

Jumla ya Watanzania 59 waliowasili ubalozini leo Alfajiri kutokea Cape town wamefanikiwa kusafiri kurejea nyumbani Tanzania wakitokea Africa kusini na ndege ya shirika la #PreciousAir.Shukrani kwa #IOM, kwa kuwezesha hii…