TANGAZO LA MSIBA
Jesca Emmanuel (12), Mhe. Tuvako Manongi, Balozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa majonzi makubwa, anasikitika kutangaza kifo cha Jesca Emmanuel (12),…
Jesca Emmanuel (12), Mhe. Tuvako Manongi, Balozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa majonzi makubwa, anasikitika kutangaza kifo cha Jesca Emmanuel (12),…
Wanafunzi Wa Kitanzania Nchini Urusi Wakosa Malazi Na Chakula…! Sisi wanafunzi wa kitanzania nchini Urusi ,tunakosa huduma za msingi kama vile malazi, chakula na bima ya afya.Serikali kupitia bodi ya…
Marehemu JANUARY JEREMIA MKOBA1949- 2012 JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE JANUARY JEREMIA MKOBA ( KOBA MDAULA) KILICHOTOKEA USIKU WA JUMAPILI TAREHE 21/10/2012. KUTAKUWA NA MKUTANO WA…
KWA WATANZANIA WOTE MUISHIO LONDON NA UINGEREZA Waziri mkuu Mh Pinda kukutana na watanzania UK Waziri mkuu mh Mizengo Pinda atakutana na watanzania waishio UK dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali…
by Lynn Edmonds 5 Oct 2012 An attack on the Tanzanian community centre created fear among immigrant communities (Athens News) A recent attack on the Tanzanian Community Centre in Athens…
Mwenyekiti; Mfundo Peter Mfundo. Makamo Mwenyekiti; George Mtalemwa. Katibu; Bi.Tulalumba Mloge. Muweka hazina; Bi.Mwamvua Dugala Merkel WABONGO UGHAIBUNI
Hii ni picha ya kumbukumbu ya mkutano mkuu wa kwanza wa jumuiya ya Watanzania Italia, uliofanyika makao makuu ya jumuiya mjini Napoli. Katika mkutano huu Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania…
UNION OF TANZANIANS IN GERMANY MKUTANO MKUU 20.SEP. 2012 Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) Unapenda kuwakaribisha wanachama wote wa UTU, Katika Mkutano mkuu wa UTU. Utakaofanyika Katika ukumbi Uliopo…
Kikosi kazi cha Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa katibia zake za kupagawisha washabiki wa muziki ughaibuni, Jumamosi ya 15.9.2012 kilifanya kweli katika maonyesho makubwa ya biashara ya Afrika-Messe, mjini Bremen,kule…
MZOZO WA TANZANIA NA MALAWI Mara nyingi nchi huingia vitani kwa sababu za tofauti za mipaka kama hizi na hasa wanapochochewa na makampuni makubwa yenye maslahi yao. Viongozi wetu wa…