WABONGO UGHAIBUNI
  • adminadmin
  • July 4, 2012
  • 0 Comments
Chama Cha Watanzania Oslo: TANGAZO

Chama Cha Watanzania Oslo Dada huyu Mtanzania ametoweka nyumbani kwake Tromøy, Arendal (Norway) tokea Jumatatu, 02.07.2012 hajaonekana hadi leo. Polisi wa Agder wanaomba msaada kwa yeyote anayefahamu lolote kuhusu Kabonga…

  • adminadmin
  • May 30, 2012
  • 0 Comments
FUJO ZA ZANZIBAR

KATIKA fujo zilizotokea hivi karibuni Zanzibar, kila mmoja atakuwa na rai yake kulingana na jinsi anavyoyaangalia mambo.Ila kama utapata wasaa jaribu usome “HOJA YA MDAU KUTOKA ZENJY” aliyoituma kwenye blog…