Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi Waongoza Mamia Ya Waombolezaji Kuswalia Mwili wa Marehemu Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Abu Dhabi, UAE Azizi Sheween
Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu alhaj Ali Hassan Mwinyi na waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa…








