Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome alivyoshiriki na kutoa kombe kwenye mashindano ya Kimataifa ya bao mjini Rome
Mheshimiwa Leonce Uwandameno akitoa kikombe kwa mshindi wa kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Nne ya mchezo wa Bao la Kiswahili yaliyofanyika mjini Roma mwezi wa Septemba, 2011. Wachezaji kumi…








