Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome alivyoshiriki na kutoa kombe kwenye mashindano ya Kimataifa ya bao mjini Rome
Mheshimiwa Leonce Uwandameno akitoa kikombe kwa mshindi wa kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Nne ya mchezo wa Bao la Kiswahili yaliyofanyika mjini Roma mwezi wa Septemba, 2011. Wachezaji kumi…
Mr. Ebbo amefariki dunia!
Msanii maarufu nchini Tanzania wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava anayeitwa Abel Loshilaa Motika au kama anavyojulikana na wengi kwa jina lake la kimuziki Mr. Ebbo amefariki dunia. Msanii huyo alifariki dunia…
MKUTANO WA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA NCHINI ITALY
Kaimu balozi wa ubalozi wa Tanzania Italy, Mh. Salvator Mbilinyi, anapenda kuwafahamisha viongozi wa Jumuiya zote za Watanzania nchini Italy kuwa, ijumaa tarehe 25 Nov. 2011, kutakuwa na mkutano wa…
Mtanzania Afariki Dunia Michigan, USA
Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkazi wa mji wa Lansing katika jimbo la Michigan nchini Marekani anaeitwa Nasibu Juma Manyala amefariki dunia. Mtanzania huyo alifariki dunia siku ya tarehe 22/10/2011…
MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROME WAFANA
Hawa ndio viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome. Kutoka kushoto ni Mjumbe Bakari Hizza, Diana Olotu(Katibu msaidizi) Andrew Chole Mhella( Katibu)Leonce Uwandameno (mwenyekiti), Awadhi Suleiman(Mweka hazina)na mwisho ni Erasmus Luhoyo…
Tanzania Blasts United Kingdom Aid Threat Over Anti-Gay Laws
United Republic of Tanzania has blasted the United Kingdom over its threat to withhold aid from governments that do not reform legislation banning homosexuality. Tanzaniaโs statement was in response to…
MKUTANO WA KUFUNGA MWAKA WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROME 19TH NOV. 2011
Jumuiya ya Watanzania Rome (TZ-RM) inayofuraha kuwakaribisheni wanajumuiya wote kwenye mkutano mkuu wa kufunga mwaka wa Jumuiya siku ya tarehe 19 Novemba 2011 kwenye ukumbi uliopo mtaa wa Via Cassallatico…








