KHADIJA KOPA ATATINGISHA ATHENS
Jumuiya ya watanzania Ugiriki baada ya kuhakikisha imekamilisha hatua zote za kumwalika Malkia wa Mipasho (KHADIJA KOPA) inapenda kuwafahamisha wale woote waliokuwa na hamu ya kuja Athens kuhudhuria show maalum…
Jumuiya ya watanzania Ugiriki baada ya kuhakikisha imekamilisha hatua zote za kumwalika Malkia wa Mipasho (KHADIJA KOPA) inapenda kuwafahamisha wale woote waliokuwa na hamu ya kuja Athens kuhudhuria show maalum…
SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 10.DEC.2011.WATANZANIA WAISHIO HUNGARY WALISHEREKEA KUTIMIA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA (TANZANIA BARA) PICHANI NI KIKUNDI CHA NGOMA ZA UTAMADUNI ZA KITANZANIA SERENGETI TROUPE KILICHOKO MJINI…
Kaimu Balozi Mh. Salvator Mbilinyi akikata keki ya miaka50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Lady Judy akikatakata keki tayari kusambazwa wa Watanzania. Lady Esther na Lady Lily wakiifungua keki kwautaratiiiiiiiiiiibu.…
SHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA ILIYOFANYIKA UGIRIKI Pamoja na hali ngumu ya kiuchumi inayoendelea kuikumba ugiriki, watanzania tunaoishi nchi hii tulikusanyika Jumamosi 10/12/2011 katika ofisi ya Jumuiya…
MAMBO YA MIPASHO HAYOOOOOOOO..!!!!! for more information please contact: Mwenyekiti wa jumuiya Sadiki CHUNDA tell +30694647970 or Hajiez Mubabe +306943890424 WABONGO UGHAIBUNI
Mpiga picha maarufu katika kila matukio na sherehe za Watanzania Italy GEORGE MAYAKA akiwa kazini siku ya sherehe za uhuru zilizofanyika Rome. WABONGO UGHAIBUNI
Pichani Mh.Mbilinyi aliyezungukwa na Watanzania akikata keki ya miaka hamsini ya uhuru ,katika sherehe zilizofanyika mjini Rome siku ya tarehe 9/12 WABONGO UGHAIBUNI
Picha zaid tembelea WATANZANIA UTURUKI WABONGO UGHAIBUNI
picha zaidi tembelea WATANZANIA NORWAY WABONGO UGHAIBUNI