THE LEGENDARY AND FIREBRAND JOHN MAGUFULI IS GONE WITH UN FINISHED CHAPTER.
FIVE YEARS OF JPM’S CLASSICAL MENEUVER. George Michael Uledi.Kyela, Mbeya.March 26, 2021. The correct way of assesing a leader “The Holy Bible”Luke 9:8-12 writes as follows:..”..And as he was saying…
MSIBA WA TAIFA LA TANZANIA
Wabongo Ughaibuni WU tunaungana na Watanzania wote popote walipo kuomboleza msiba mkubwa wa taifa letu. Tumezipokea taarifa za msiba kwa mshituko na masikitiko makubwa sana. Nchi yetu ipo kwenye wakati…
Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait
Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, afanya mazungumzo na Mhe. Abdulwahab Ahmed Al-Bader, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait Fund) katika ofisi za…
TANZANIA YAJIVUNIA MIAKA 40 YA MAFANIKO SADC
Tanzania imejivunia mafanikio iliyoyapata katika kipindi cha miaka 40 ya uanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.…
Equity Diaspora Banking
Fursa kwa Watanzania ughaibuni,Equity diaspora banking inakupa fursa ya kufungua account pamoja na kukuwezesha kupata mikopo ya maendeleo na ya shule huko ughaibuni.














