Tanzania Embassy in China
Maonesho ya 2 ya Bidhaa za Kilimo kutoka Barani Afrika yatafanyika jijini Changsha Mwezi Sept 2021. Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakazoshiriki.Taarifa hiyo imetolewa leo katika mazungumzo ya Naibu Mkurugenzi…

Na AbuLuLu FaJMPrince philipo (Philip), Duke wa Edinburgh Jumba la Buckingham limetangaza kwamba Mfalme Philipo mume wa Malkia Lizabeti amefariki dunia, Asubuhi ya leo, tarehe 9 April 2021. Habari za…
Hospitali za Tanzania kuanzisha ushirikiano na Hospitali Bingwa ya Magonjwa ya Ubongo ya TIAN TAN ya China. Kupitia ushirikiano huo Madaktari wa Tanzania wataweza kutumia teknolojia ya hospitali hiyo inayotumia…
Chuo Kikuu Zhengzhou cha #China kuanzisha ushirikiano na Chuo Kikuu Dodoma katika utafiti wa uzalishaji wa bidhaa za volkano na uzalishaji wa nishati kwa kutumia joto ardhi. Ubalozi wa #Tanzania…
Fungua Account yako ufaidike na fursa za mikopo nafuu!!! #livegloballybanklocally
Ilikuwa siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita tarehe 20/03/2021 Watanzania nchini Italy walikutana Ubalozini kwa ajili ya sala na maombi kufutia kifo cha aliekuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa…