LA MHE. JERRY SILAA LINAIBUA HOJA KUHUSU OGP.
Na Abbas Mwalimu (0719258484). Jumanne tarehe 24 Agosti, 2021. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Justino Ndugai ameamuru Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mheshimiwa Jerry…
Na Abbas Mwalimu (0719258484). Jumanne tarehe 24 Agosti, 2021. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Justino Ndugai ameamuru Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mheshimiwa Jerry…
Na Msemakweli Chakubanga Leo 14:30hrs 28/08/2021 Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.August 28,2021. Hamza Mohamed Kijana aliyetekeleza mauaji ya askari Polisi maeneo ya ubalozi wa ufaransa majuzi inawezekana akawa “chambo”.? Je, kijana Hamza ametumika”kulianzisha” ili kupata “justification” ya kitakachokuja…
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ambae kwa sasa ni bingwa wa Africa alijibu taarifa ya kumtaka kupambana na mwana masumbwi Dula Kiduku kwa ofa ya gari iliyotangazwa na Mbunge Babu…
George Michael Uledi.Kyela MbeyaAugust 27,2021. Ni wazi kuwa uchunguzi wa tukio la “Gunshoot” lilofanywa na kijana anayetambulishwa kwa jina la Hamza juzi katika maeneo ya ubalozi wa Ufaransa unaweza usiwe…
Na H.Mkali mkali@live.co.uk Mwandishi wetu nguli msomi,mchambuzi wa masuala ya kidiplomasia na siasa za Kimataifa ,ameandika katika kuwaza kwake kwa sauti kuhusu taarifa hii inayosema kuwa kampuni ya Winshear Gold…
Diaspora Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amewahimiza Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) kwenye maeneo mbalimbali duniani kuwa na utaratibu wa kujitambulisha na…
“Hii ni Fursa kwa Diaspora kuonyesha umuhimu wao katika kushiriki na kuchangia maendeleo ya nchi yetu kiuchumi” Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila #Mkumbo (Mb) ametangaza fursa za uwekezaji…
“Mijadala inayoendelea kwenye mitandao na makundi sogozi ya Wana Diaspora ni Kuhusu Uraia pacha,wapo wanaoona kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano inanyima haki Yao ya Uraia na kwamba sasa umefika…