SPIKA WETU WA CCM LAZIMA AJUE HAYA.
George Michael UlediKyela,Mbeya.January 17, 2022. Wakati vikao rasmi vya kuchakata majina ya watia nia ndani ya CCM kwa nafasi ya Uspika vikianza kesho,mwanachama yoyote atakaye teuliwa na Chama kupeperusha bendera…


















