JIJENGE
MAANDAMANO MJINI CORK, NCHINI IRELAND KUPINGA LOCKDOWN NA UVAAJI WA BARAKOA
Mamia ya Waandamanaji leo mjini Cork, wakiwa hawajavaa barakoa uko Ayalenda wamejitokeza kwa kuandamana kupinga, kuwekwa karantini na uvaaji wa barakoa.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN LEO ANAANDIKA HISTORIA MPYA KWA BARA LA AFRIKA.
George Michael UlediKyela,Mbeya.April 30,2021. Mama mmoja,msomi mtulivu na mbobezi wa siasa za Tanzania kuanzia ubunge, uwaziri,makamu wa Rais na baadae Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo anakwenda kuandika…
KILA KITU NI MPAKA RAISI AU WAZIRI MKUU? TUTATUMBUA LAKINI UFISADI UTASHAMIRI
Na Dr Yahya Msangi Kuna wengi hawakuwepo enzi ya Mwalimu. Hawakuona alivyoweza kudhibiti majizi. Mwalimu aliwapa wafanyakazi na vyama vyao nguvu ya kuingilia wanapoona wakubwa wao wanafakamia mali ya umma.…
SERIKALI YATOA KAULI KUHUSU DIASPORA FURSA ZA KUWEKEZA NYUMBANI TANZANIA
Watanzania waishio nje wahimizwa kuwekeza nyumbani pamoja na kupeleka ujuzi waliopata nje ya nchi katika kuchangia maendeleo ya nchi. Mh Kitila Mkumbo alisisitiza msimamo wa serikali kuhusu diaspora.
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. SAMIA SULUHU HASSAN
Dodoma 22/04/2021 Download and read
PONGEZI KWA MH RAIS NA HOTUBA YA VIWANGO.
ASHRAPH. S.KIOBYA0743405045 Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mnamo saa Kumi kamili tarehe 22/04/2012, Tanzania nzima ilikaa kimya kupisha hotuba ya viwango na yenye kuleta matumaini na…
Tanzania overtakes South Africa as Kenya’s top remittance source
By OTIATO GUGUYUMore by this Author Dollar inflows from African countries into Kenya dropped 65.9 per cent in the first three months this year, with Tanzania overtaking South Africa as…
DODOMA: DICOTA WAKUTANA NA WAZIRI MULAMULA
April 22, 2021. @WabongoWu Rais wa DICOTA, Dkt Frank Minja akiwa na Mhe Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, jijini Dodoma, leo…















