RAIS MWINYI AKUTANA NA DIASPORA WA TANZANIA NCHINI OMAN
Na Mwandishi wetu OMAN Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Watanzania wanaoishi na kufanya kazi nchini Oman maarufu Diaspora. Katika mkutano…

















