USHINDI WA KONDE:MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM. “Na majibu ya Jicho la Uledi”
“WASALITI NDANI YA CCM BADO HAWAJAJIFUNZA?” “Majibu ya hoja” Na Chakat,Hapa Kazi Tu. Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa…


















