KAMATI YA PAMOJA YA MUUNGANO YAKUTANA
Dar Es Salaam TANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya…
Dar Es Salaam TANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya…
Cairo MISRI Zaituni Abdallah: Mwanaharakati wa Kijamii na Mwanamke wa Kwanza Mwafrika Kuongoza Jumuiya Kairo Katika kutambua jukumu lake muhimu katika kuhudumia jamii ya Watanzania Kairo, Jukwaa la Uongozi wa…
Dodoma TANZANIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Menejimenti ya Wizara katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge…
Budapest HUNGARY Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mh. Hassani Iddi Mwamweta amewasilisha Hati za Utambulisho (Letters of Credence) kwa Mheshimiwa Dkt. Tamás Sulyok, Rais wa Hungary. Kitendo cha kuwasilisha Hati…
Kigali RWANDA Waziri Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Bw. Kundwe Moses Mwasaga, leo Machi 03, 2025 wameshiriki katika kikao…
Istanbul TURKEY UEFA Friendship Cup 2025 Tarehe 02 Aprili 2025, Mhe. Iddi Seif Bakari, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki, ameitembelea Timu ya Taifa ya Wasichana chini…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni amesema wakati Tanzania ikiendelea kutatua changamoto za upatikanaji wa Nishati Safi ya Kupikia, Serikali…
Berlin, GERMANY Deputy Minister in the Prime Minister’s Office dealing with Policy, Parliamentary Affairs, and Coordination, Hon. Ummy Nderiananga, leads the United Republic of Tanzania delegation at the Third Global…
Rome, ITALY Waziri Kombo akutana na DG Tume ya EU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa…
Rome Italy Tanzania Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Amb. Mahmoud Thabit Kombo (MP.) participated in the UNDP High-level roundtable in Roma, Italy aiming to unlock sustainable…