MPANGO WA MATTEI TANZANIA ITALY SASA RASMI
TANZANIA, ITALIA ZAAINISHA SEKTA ZA KIPAUMBELE MPANGO WA MATTEI WU®MEDIA Serikali ya Tanzania na Serikali ya Italia zimekutana na kuainisha sekta za kipaumbele zitakazo nufaika na mpango mpya wa kimkakati…
TANZANIA, ITALIA ZAAINISHA SEKTA ZA KIPAUMBELE MPANGO WA MATTEI WU®MEDIA Serikali ya Tanzania na Serikali ya Italia zimekutana na kuainisha sekta za kipaumbele zitakazo nufaika na mpango mpya wa kimkakati…
NDUGU WA MTANZANIA PICHANI WANATAFUTWA
The Road to Paris Na Nsangu Kagutta Busto Arsizio Italy Bondia wa Taifa anaepeperusha bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Busto Arsizio nchini Italy,leo amepoteza pambano dhidi ya bondia…
Busto Arsizio VA Italy Na Nsangu Kagutta Bondia wa Taifa ambae yupo katika kugombea nafasi ya kushiriki katika michezo ya Olympic mwaka huu itakayofanyika kuanzia mwezi wa saba Paris Ufaransa,…
BOXING THE ROAD TO PARIS FRANCE Na Mwandishi wetu GFAMILY KAGUTTA Bondia wa Tanzania Yusufu Luccasi Changarawe usiku huu ameing’arisha Tanzania baada ya kushinda pambano la kutafuta kufuzu kushiriki kwenye…
WU® MEDIA Rome. Mzee Rukhsa: Kutoka kusaka ushekhe mpaka kupata urais “Leo nina miaka karibu 94, sina siku nyingi za kuiacha dunia. Sitaki niende huko napoenda na aibu nyuma yangu.…
WU® MEDIA Vatican Kardinali Protase Rugambwa, “Kardinali Padre”, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Tabora, Dominika tarehe 18 Februari 2024, anakabidhiwa Kanisa la “Santa Maria in Montesanto”, lililoko kwenye Barabara…
WU® MEDIA Oslo Norway Rais Dk. Samia azinadi fursa za kilimo za Tanzania kwenye Mkutano wa Mashirikiano wa Masuala ya Usalama wa Chakula na Mabadiliko ya Tabia nchi – Norway…
Na Mwandishi wetu 10/02/2024 Rome Italy Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alikutana kwa chakula cha jioni na Wanafunzi wanaosomea dini Vatican pamoja na jumuiya…
Rome Italy 31 Jan 2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amenadi fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana nchini katika mkutano wa…