MIAKA SITINI YA UHURU WA TANZANIA TULIPOFIKIA SIO SIZE YETU KAMA TAIFA.
George Michael Uledi. Hata ingetokea ningekuwa jiji Dar es salaam kwa siku ya kesho ambayo Nchi yangu nzuri Tanzania itakuwa inatimiza miaka sitini ya uhuru wake bado isingetosha kunisogeza uwanja…


















