HOJA MUHIMU SI KUHAMA IKULU, BALI NI NJAA NA UMASIKINI
Na Abbas Mwalimu (0719258484). Ijumaa tarehe 27 Agosti,2021. Rais mpya wa Zambia, Mheshimiwa Hakainde Hichilema maarufu kama HH ameweka bayana kuwa hatoishi katika makazi ya Nkwazi yaliyopo Ikulu ya Zambia…

















