RAIS WA MSUMBIJI AWASILI TANZANIA
Dar Es Salaam , TANZANIA Rais Samia ampokea Rais Chapo Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemkaribisha mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya…
Dar Es Salaam , TANZANIA Rais Samia ampokea Rais Chapo Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemkaribisha mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya…
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen…
WUยฎMEDIA Rimini Italy Na Kagutta N.Maulidi Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy umeongoza wadau wa sekta ya kilimo na biashara kwenye maonesho makubwa ya kibishara ya na…
New York Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Amina Mohammed Ofisini kwake Katika Makao Makuu wa Umoja wa…
Hanoi VIETNAM Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa…
Hanoi VIETNAM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri…
Hanoi Vietnam Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo…
Hanoi VIETNAM Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya…
Hanoi VIETNAM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia…
Vatican Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema namna bora ya kumuenzi aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani hayati. Baba Mtakatifu Francisko…