SAFARI YA TATU KURUDI TANZANIA KUTOKA SOUTH AFRICA
Kwa niaba ya Watanzania waliokwama hapa Afrika Kusini tumefanikiwa kupata basi binafsi ili kurudi Tanzania.Hii ni jitahada binafsi wakati tunasubiri jibu la serikali kuhusu msaada kutoka serikalini.Hii inaweza kuwa ndio…


















